MMARAU Institutional Repository

MCHANGO WA MAZINGIRA YA MWANDISHI KATIKA MATUMIZI YA MAFUMBO

Show simple item record

dc.contributor.author AYIERA Elijah Arasa
dc.contributor.author ONTIERI James Omari
dc.contributor.author AYODI Nancy
dc.date.accessioned 2018-08-29T06:08:51Z
dc.date.available 2018-08-29T06:08:51Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/123456789/7168
dc.description.abstract Ikisiri: Lugha ni kiungo muhimu cha riwaya kwani ni kupitia kwa lugha ambapo mwandishi huyafikia malengo yake ya kisanaa na kuwasilisha ujumbe wake. Suala hili limechangamkiwa na watafiti wengi wa fasihi kote ulimwenguni. Makala hii inajikita katika kuchunguza mchango wa mazingira ya mwandishi katika matumizi ya mafumbo kwenye riwaya mbili za Katama Mkangi: Mafuta na Walenisi. Kwanza, makala hii imebainisha kuwa, wakati ambapo Mkangi alikuwa akiandika riwaya hizi, uhuru wa kuikosoa serikali iliyokuwa mamlakani haukuwepo na kwa hivyo, alilazimika kutumia ufumbaji kuwasilisha ujumbe wake ili kuhepa rungu ya serikali. Pili, alikosomea na waandishi wengine, walimwathiri katika matumizi ya mbinu ya ufumbaji katika Uandishi wake. Tatu, hali ya kisiasa dhidi ya waandishi wakati wa uandishi wake ilimlazimisha kutumia lugha ya ufumbaji ili ichukuane na wakati huo. Aidha, kutokana na makala hii ni dhahiri kuwa Mkangi alitumia mbinu ya ufumbaji kumzindua msomaji kuhusu athari za utabaka, ubepari, unafiki wa viongozi miongoni mwa mengine. Yaliyoshughulikiwa katika makala hii yalilikusanywa kupitia kwa upekuzi wa maandishi na riwaya mbili za Mkangi: Mafuta na Walenisi kwa kuzingatia lugha ya mafumbo. Makala haya ni muhimu kwa kuwa yatawasaidia wasomaji kuelewa kazi hizi za Mkangi zilizoandikwa kimafumbo. Maneno Muhimu: Mafumbo (Ufumbaji), Mazingira, Lugha, Mafuta na Walenisi en_US
dc.language.iso en en_US
dc.title MCHANGO WA MAZINGIRA YA MWANDISHI KATIKA MATUMIZI YA MAFUMBO en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account