KENNETH KINYUA THURANIRA
(2023)
Utafiti huu ulishughulikia muundo na ruwaza ya kivumishi cha lahaja ya Kiimenti
kinapotumika katika tungo za Kiimenti. Kiimenti ni lahaja mojawapo ya lugha ya Kimeru
inayozungumzwa katika kaunti za Meru na Tharaka Nithi. ...