AYIERA Elijah Arasa; ONTIERI James Omari; AYODI Nancy
(2017)
Ikisiri: Lugha ni kiungo muhimu cha riwaya kwani ni kupitia kwa lugha ambapo mwandishi
huyafikia malengo yake ya kisanaa na kuwasilisha ujumbe wake. Suala hili limechangamkiwa na
watafiti wengi wa fasihi kote ulimwenguni. ...