Kenneth Kinyua Thuranira, James Ontieri & Nancy Ayodi
(2023)
Ikisiri
Kivumishi ni kipashio muhimu katika lugha kinachotumika pamoja na maneno mengine kufanikisha mawasiliano. Utafiti wa kifonolojia kuhusu kategoria mbalimbali za maneno ya lahaja za lugha ya Kimeru umewahi kufanywa. ...